CHRIS BROWN AGOMA KUKABIDHI SIMU YAKE KWA WAPELELEZI

MWANAMUZIKI Chris Brown amekataa kukabidhi simu yake kwenye bodi ya upelelezi kwa ajili ya uchunguzi wa tuhuma za ubakaji dhidi ya mwanamke mmoja nchini Ufaransa.   Kwa maelezo ya nyaraka za mahakama imeeleza kuwa endapo Chris Brown atakabidhi simu yake kwa ajili ya upelelezi kuna uwezekano kutokua na usalama endapo mshtaki akifanya maamuzi ya kuchukua […]

MONDI AMPA MSALA KIBA!

DAR ES SALAAM: Weka pembeni nyimbo zake za mwaka huu za Tetema, The One na Inama, sasa ni zamu ya Kanyaga kutoka kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambao umesababisha kizazaa kwa hasimu wake kimuziki, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, Amani linafunguka.   Mapema wiki hii, Diamond au Mondi aliachia wimbo huo […]

MASTAA YANGA SC WAANZA KUTUA AIRPORT

WACHEZAJI wapya wa Yanga na wale wa zamani wanatarajia kuanza kuingia nchini wiki hii kwa ajili ya kujiandaa na kambi ya timu hiyo inayotarajiwa kuanza rasmi Julai 7, mwaka huu jijini Dar es Salaam.   Tayari Yanga imeshasajili nyota 10 wapya wakiwemo wazawa ambao ni Mapinduzi Balama, Abdulaziz Makame,Ally Ally, kwa upande wa wageni ni Patrick Sibomana, […]

DAAH! STARS NDIYO HIVYO BANA AFCON 2019, TANZANIA 2-3 KENYA

MCHEZOvwa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars dhidi ya Kenya uliochezwa jana usiku, umemalizika kwa Kenya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2. Katika mchezo huo wa Kundi C uliochezwa kwenye Uwanja wa June 30 uliopo jijini hapa, ni wa pili kwa timu hizo katika michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) inayoendelea kwa sasa […]

LUKAKU ANAONDOKA ZAKE MANCHESTER UNITED

ROMELU Lukaku ameamua kuondoka Manchester United, kwa mujibu wa wakala wake. Straika huyo mwenye umri wa miaka 26 anatazamiwa kuachana na timu hiyo na uwezekano mkubwa ni kuwa atajiunga na Inter Milan msimu ujao wa 2019/20. Wakala wa Lukaku, Federico Pastorello amesema kuwa staa wake amemweleza kuwa anataka kuondoka katika timu hiyo. Pastorello alidokeza kuwa […]

KAPOMBE AONGEZA MIAKA MIWILI SIMBA

Beki wa kulia wa Simba Shomari Kapombe ameongeza mkataba wa miaka miwili kuichezea timu hiyo. Makubalia hayo hayo yamefikiwa baina ya klabu ya mchezaji kuendelea kutoa huduma kwa miaka miwili ijayo. Kapombe ambaye msimu uliomalizika hivi karibuni haukuwa mzuri kutokana na kusumbuliwa na majeruhi atakuwa mmoja wa wachezaji watakaoendelea na Simba msimu ujao. Simba wameendelea […]