Ulimbukeni wa Wanaume Linapokuja Swala la Mapenzi na Uzuri wa Mwanamke

Leo inabidi tuambiane ukweli, kuna baadhi ya wanaume ambao sijui ndo tuite “nzi kufia kwenye kidonda” yani utakuta mwanaume anamfukuzia mwanamke kwa miaka 3, kisa ni nini? eti oh yule demu ni mzuri, oh i have a crush on her, ooh nimemzimia..utakuta huyo mwanamke anaefukuziwa wala hamuwazi huyo mwanaume tena usiku analala usingizi mnono na […]

Vee Money Azidi Kuipaisha Bongo fleva Kimataifa

UKIFIKA katika Jiji la New York kuna jarida moja maarufu la urembo na mitindo linalotoka kila mwezi ambalo ndani yake llinachukua Wamarekani weusi au Waafrika wenye umri kuanzia miaka 18 hadi 49.  Jarida hilo limekuwa maarufu kutokana na kupamba kwa mastaa wakubwa wa filamu na muziki ambao wamekuwa wakiingia hadi kwenye mitindo kama vile Usher […]

Mama Mondi Akanusha Mwanaye Kutumia Madawa ya Kulevya

MAMA wa msanii nyota wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul, maarufu kama Diamond Platinumz, anayefahamika kwa jina la Bi Sandra (Sandura Kassim) amekanusha tetesi za mwanaye kudaiwa kutumia madawa ya kulevya. Mama huyo amesema mwanaye amekuwa akifanya kazi sana kila kukicha hivyo anachoka sana na si kweli kwamba anatumia madawa kwani Diamond anajua fika madhara ya […]

John Bocco achaguliwa kuwa Nahodha wa Taifa St

Kocha Etiene Ndayiragije amemteuwa John Bocco kuwa Nahodha wa Taifa Stars kuelekea michuano ya CHAN huku akisaidiwa na Juma Kasseja, Kelvin Yondani na Erasto Nyoni. Siku ya Jumapili, Tanzania itamenyana na Kenya jijini Dar es salaam kabla ya mechi ya marudiano siku ya mapema mwezi Agosti jijini Nairobi. Fainali ya kwanza ya CHAN iliandaliwa mwaka […]

Tunisia kuomboleza kifo cha Rais wao kwa siku saba

Kufuatia kifo cha Rais Beji Caid Essebsi siku ya Alhamisi (jana) asubuhi,Waziri Mkuu wa Tunisia Youssef Chahed aliamuru siku hiyo hiyo siku saba za kuomboleza ya kitaifa. Serikali pia imeamua kufuta maonyesho yote ya kisanii na hafla zingine za kitamaduni nchini Tunisia,kulingana na taarifa iliyotolewa na urais wa serikali. “Tunisia imempoteza raia mwaminifu, mwananchi aliyejitoa […]

Baada ya Ukimya Mrefu Wema Arudi na Wema Empire

BAADA ya kuwa kimya kwa kipindi, muigizaji ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amefika katika Viunga vya Global Group, Sinza Mori jijini Dar na kuanika sababu za ukimya wake huku akitambulisha kampuni yake mpya ya Wema Sepetu Empire. Akizungumza mapema leo ndani ya +255 Global Radio, Wema aliyekuwa ameongozana na dairekta wake, Neema […]

Rais Magufuli aagiza pori la Selous kuwa Hifadhi ya Taifa

Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kukata eneo la ukanda wa juu wa pori la Selous na kulifanya kuwa Hifadhi ya Taifa na liitwe ‘Nyerere National Park’  ili kuenzi mawazo ya Hayati Baba wa Taifa . Magufuli ametoa agizo hilo leo, wakati akizindua ujenzi wa mradi wa kufua umeme […]

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo

Bonyeza Links zifuatazo Kusoma zaidi na Kuapply Job Opportunity at Ubongo, Adaptation Manager Job Opportunity at Ifakara Health Institute (IHI) Job Opportunty at Vodacom, Territory Manager Job Opportunity at Talanta International, Business Development Officer (BDO) Job Opportunity at Open University of Tanzania, Deputy Vice Chancellor Job Opportunity at HJF Medical Research International, Inc. (HJFMRI) – […]