Mobeto Amponza Dimpoz

WANANZENGO siyo watu wazuri! Ile tabia ya staa wa Bongo Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuwanyapianyapia warembo ambao walibanjuka penzini na staa mwenzake wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ imemtokea puani baada ya kugusa anga za mwanamitindo Hamisa Mobeto.   Iko hivi; kwenye moja ya mahojiano aliyoyafanya Dimpoz hivi karibuni, alisema anamhusudu mno Mobeto […]

Tanasha: Sina Usista Duu Kwenye Kulea

MASTAA wengi wanapokuwa wanalea wanaweka ustaa mbele na kusahau kwamba washakuwa mama, ishu hizo ndizo hataki kuzisikia kabisa mpenzi wa sasa wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Tanasha Donna na kusema usista du hana muda nao kwenye malezi. Akizungumza na Za Motomoto ya Risasi, Tanasha alisema kuwa kama mwanamke atafanya kama vile walikuwa […]

Ester, Wema ameniumiza sana!

MUIGIZAJI wa Bongo Muvi, Ester Kiama amesema muigizaji mwenzake, Wema Isaac Sepetu amemuumiza roho hadi kumfanya aangue kilio na kukosa raha siku nzima. Ester ameyasema hayo kufuatia hivi karibuni Wema kumjibu mmoja wa mashabiki wake kwenye Mtandao wa Instagram ambaye alimsifia na kumuambia amekosa kitu kimoja tu bila kukitaja ndipo Wema alipomjibu; “ugumba.” “Kwa kweli ile […]

Tessy atoa kauli tata kumhusu Aslay!

MREMBO Tessy Abdul ‘Tessy Chocolate’ ametoa kauli tata inayotafsiri kwamba anamzungumzia mzazi mwenziye, Aslay Isihaka japokuwa hakutaka kumtaja moja kwa moja. Akizungumza mawili-matatu kuhusu maisha yake kwa jumla mbele ya kinasa sauti cha Amani, Tessy alichomekea kuwa, watu wasiwe na wasiwasi pindi inapotokea wamepoteza kitu maishani kwani yeye amejifunza kama Mungu akipanga utakuwa na kitu hata […]