Fahamu: Umaarufu wa Irene Uwoya ulilipuka Baada ya kuigiza filamu ya Oprah akiwa na Kanumba na Ray, lakini Batuli ndie alianza kufuatwa aigize uhusika ukuu wa Oprah, Batuli alikataa sababu hakuwa comfortable kucheza scenes za kimahaba ziliozoonekana Kwenye movie husika na kuzua minong’ono Kwa Wakati huo. Uwoya hakujivunga na kilichotokea ni movie hiyo kumpa jina kubwa zaidi ya mwanzo .

Hata hivyo, Batuli baadaye aliigiza Fake Smile akiwa na Kanumba ambapo nae bahati ya ustaa ilikuwa yake Kwa movie hiyo kumpa jina

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *