BAADA ya kuenea kwa taarifa kuwa Baby mama wa Travis Scott, mrembo Kylie Kurudiana na rapa Tyga sasa basi mtandao wa TMZ umeripoti kuwa wapenzi hao wawili Travis Scott na Kylie inasemekana wamerudiana baada kuonekana kuishi pamoja.

Travis Scott na Kylie baada ya kuweka wazi kuwa mahusiano yaho yamevunjika hawapo pamoja wawili hao wanaonekana kurudiana tena na wapo karibu baada Travis Scott kupata ajali ya kuteguka mguu kwenye tamasha la Rolling Loud inatajwa kuwa sababu ya kuwaleta wawili hao tena karibu.

Mtandao wa TMZ umethibitisha baada ya kunesha picha za wawili hao kuonekana tena pamoja wakiwa pamoja na mtoto wao. Wanafamilia wanatamani wawili hao warudiane na wanaimani watarudia hivi karibuni ili wamlee mtoto wao.

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *