Msanii wa Bongoflava Ruby Siku ya Jana alitoa Taarifa za Kupotea kwa Mumewe anayejulikana kwa jina la KUSAH… Aomba msaada kwa yeyote atakaye fanikisha kupatikana kwa Mchumba wake huyu kwani haonekani kwa siku ya Nne

Updates:
Baada ya Masaaa kadhaa toka ameomba msaada kwa Watanzania Ruby alirudi tena mtandaoni jioni ya jana na kuwashukuru Watanzania na kusema amempata mume wake

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *