Kwa mara ya Kwanza Leo ndani ya Clouds FM Harmonize Amefunguka haya:

“NILITAKIWA KULIPA MILLION 500” -: HARMONIZE

 “Kiukweli kule sijaondoka kwa ubaya, tumefuata sheria na taratibu za mkataba! Nilitakiwa kulipa million 500 na baadhi ya gharama, kiukweli sikuwa na pesa lakini nimeuza baadhi ya mali zangu ili nifanikiwe kulipa hiyo pesa na kwa asilimia kubwa nimelipa bado asilimia chache tu ili niweze kutumia kitu chochote kinachomuhusu Harmonize”

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *