Hajui Kama Nimeoa, Penzi Limenoga Nataka Kusema Ukweli Lakini Sujui Nianzie Wapi

Sijawahi kuwa mzinzi tangu nimeoa miaka 5 iliyopita. Hadi hivi karibuni nilipoanzisha uhusiano na binti mmoja.. Tulifahamiana kikazi, yeye yupo idara ya uhasibu. Huja kazini kwangu kila mwisho wa mwezi kwa ajili ya transaction mbalimbali. Tukazoeana na kuwa wapenzi. Kiukweli mambo yalienda haraka haraka sana na aliingia mazima mazima kiasi kwamba hata kila nilipotaka kumwambia […]

Wanaume Waongeza Safari Kukwepa Michepuko

UDANGANYIFU kwa ‘michepuko’ miongoni mwa wanaume wengi siku hizi ni mwingi kama ambavyo tumekuwa tukiangazia kwa wiki tatu mfululizo. “Simu yangu imejiblock siwezi kutuma hela kwa sababu ziko kwenye simu.” “Nimetoka kumuuguza mama yangu, nimerudi siko vizuri kifedha.”   “Ntakutumia hiyo hela kesho,” lakini hatumi kama alivyoahidi. Ni miongoni mwa sababu ambazo zimewafanya wanawake wengi ambao […]

Wapenzi waliogombana, tiba ni hii hapa

 KUGOMBANA ni jambo ambalo halikwepeki katika uhusiano wa kimapenzi. Upo ugomvi ambao ni wa kawaida na huisha kirahisi lakini upo ugomvi ambao huwa mkubwa na kama ukitokea na ukashindwa kujua nini cha kufanya ili kuweka mambo sawa, husababisha ufa kwenye penzi lenu. Leo nitazungumzia mambo muhimu ya kufanya inapotokea wewe na mpenzi wako mmeingia katika […]

Je, Ntakuwa Nimemuharibu Mtoto? Nimefanya Mapenzi na Mwanaume Ambaye si Baba wa Mtoto…

Mimi nina mtoto wa miezi 10 sasa, niliachana na aliyenipa ujauzito nikiwa na mimba ya miezi 2 mwaka jana mwezi wa 2, na tangu mwaka jana nilikua sijakutana kimwili na mwanaume yoyote yaani nimekaa mwaka 1 na miez 5. Miezi mitatu iliyopita nilikutana na kaka mmoja akawa anataka kunioa, but juzi nikashiriki nae tendo kibinadamu, […]

Amber Lulu Aanika Alivyoshea Bwana na Gigy!

DAR ES SALAAM: Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Eugen ‘Amber Lulu’ amefunguka suala la kushea bwana na msanii mwenzake, Gift Stanford ‘Gigy Money’. Amber Lulu amesema kuwa, ni kweli aliwahi kushea mwanaume mmoja na Gigy Money siku za nyuma.   “Kutokana na lifestyle yangu ya sasa hivi, watu hawamjui bwana’ngu kwa hiyo wanajitahidi kumtafuta na […]

Mke wa Rayvanny Abanwa Kumkuwadia Mondi

UKISIKIA mambo ni moto ndiyo haya sasa! Wakati mwandani wa mwanamuziki wa kimataifa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna akiwa leba akijifungua hivi karibuni, uliibuka ubuyu matata kuwa jamaa huyo anachepuka. FAHYMA MFANIKISHAJI Huku na huku ikaelezwa kwamba facilitator (mfanikishaji) wa ishu hiyo ni mke wa staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa […]

Wenye Video Chafu za Meninah Kimenuka!

  HAKUNA aliye salama! Hiyo ndiyo taarifa kutoka Jeshi la Polisi ambayo imetua kwenye Dawati la Gazeti la Ijumaa Wikienda kwamba, wale wote ambao wamesambaziana video chafu za ngono zinazodaiwa ni za msanii wa Bongo Fleva na mshereheshaji Menina Atick ‘Meninah’, watafikiwa na mkono wa sheria. GUMZO LILIIBUKA ALHAMISI Video hizo zinazomuonesha Meninah akiwa anavunja […]

Mapya Yaibuka ! Tanasha Atibuliwa na Mobetto kwa Kufuma SMS zake Kwenye Simu ya Diamond

Tanasha, Hamissa Mobeto na fahyma Kwa mujibu wa chanzo, hivi karibuni Baada ya Tanasha kujifungua walichuniana na Mond Baada ya Tanasha kudaiwa kufuma chats za Mobetto na Mond wakitaka kurudiana huku wakidaiwa kuahidiana kufunga ndoa. Fahyma ndie anadaiwa kuwa kuwadi wa Mobeto na Mond kwani Fahyma na Mobetto ni marafiki walioshibana kwa mujibu wa taarifa […]

Majibu ya Fid Q kuhusu picha yake na Nandy

Kupitia EATV & EA Radio Digital, Mkongwe wa muziki wa HipHop Bongo Fid Q, amenyoosha maelezo kuhusu picha iliyosambaa na kuzua taharuki katika mitandao ya kijamii ikimuonesha amesimama na Nandy. “Kwanza yale yalikuwa mambo ya upepo, nilishangaa kwa sababu mambo ya walimwengu niliipokea kama ya walimwengu kwahiyo sio ‘issue’, Mke wangu Mama Cheusi hakutoa maoni […]