“Nina miaka 30 na nadhani niko tayari kwa watoto!” Vera Sidika anaongea juu ya kuanzisha familia na mpenzi wake wa Kitanzania

Vera Sidika amekuwa akidai kuwa yuko tayari kwa mtoto kwa miaka michache iliyopita; lakini sasa kwa kuwa yeye ni miaka 30, mwanamke huyo hajeshi tena juu ya suala hili. Inapakia … Vera Sidika na bae, Jimmy Hivi majuzi wakati wa mahojiano yake kwenye redio ya Wasafi, jamii ya Kenya ilifunua mambo kadhaa kuhusu uhusiano wake […]

Huddah Wants to Sleep With Kipchoge to Test His Bedroom Marathon Skills

  Socialite Huddah Monroe is back at it again. Loading…   The controversial socialite was recently on Instagram to confess that she wants to spend some time with Athlete Eliud Kipchoge and test his bedroom skills to see whether they match his marathon ones. Huddah revealed that she was totally blown away by Kipchoge’s win […]

Mama Mwenye Nyumba Amekuwa Kero Kwangu….Ananitega Sana.

Kutoka kwa Mdau Nilipohamishiwa kanda ya ziwa kikazi toka Dar. nilimtafuta dalali ili anisaidie kunitafutia nyumba, kweli alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye kiutamaduni ni mtani wangu na yy huwa ananiita mtani. Sasa kwanza hana mume, mumewe alifariki mwaka jana mwezi wa 4 na ana watoto wakubwa tu wengine wapo vyuoni na mmoja anafanya […]

Mapenzi ya Siku Hizi ya Kuviziana..Unajaribiwa Kwa Kuombwa Kitu

Unakutana na mdada….unajenga mazoea anakupa mawasiliano. Unajaribu kuwasiliana naye unaona kama hakupi muda kivile. Unajisemea aah labda hanipendi. Kama mnavyojua moyo unamilango mingi…mmoja unakuambia labda umpe muda anakuzoea atakuwa poa baadae. Kabla hajakuzoea unaombwa kitu. Kwa wenye akili kidogo unajishauri ndani ya dakika unamwambia sawa umekipata chukua. Ukishampa anaanza kukuchangamkia hadi unashindwa kuelewa imekuaje. Sasa […]

Harmonize atangaza balaa lingine na Wizkid

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize ametangaza kuachia kolabo nyingine wiki ijayo na msanii kutoka Nigeria, Wizkid. Harmonize na Wizkid Harmonize ambaye wiki hii alikuwa nchini Australia kikazi kwenye tamasha la AfroEast, Amethibitisha kolabo hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuahidi kuwa inatoka wiki lijalo. Tamasha la AfroEast limetumbuizwa kwa siku mbili katika […]

Kisa Liverpool, Samatta Aacha Kula Fungate

Samatta akiwa na mke wake Neima Mgange baada ya kufunga ndoa. NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amelazimika kumuacha mke wake Dar, siku chache baada ya ndoa kutokana na kuwahi mechi dhidi ya Liverpool ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo Genk itakutana nao Oktoba 18. Samatta amefunga ndoa na mzazi mwenzie Neima Mgange aliyezaa nae […]

Ni Sawa Kutumia Mswaki Mmoja na Mpenzi Wako?

Jamani usiombe mapenzi yakakunogea utatamani ugandane na mpenzi wako kila mahala. Katika kona kona za mapenzi mapenzi leo nimekuta na hii kitu. Mara nyingi watu wanapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi huwa wanaaminiana kupita kiasi hata kama hawakuwahi kuchunguza afya zao. Hali hii hupelekea wapenzi kuchangia vitu mbali mbali kama nyembe, mswaki,mkasi hata wengine hufikia hatua […]