AMBER LULU KUMZALIA PREZZO!

VIDEO queen ambaye pia anafanya poa kunako Bongo Flevani, Lulu euggen ‘Amber Lulu’ amesema kwa sasa anaona kuwa hakuna cha kusubiri tena zaidi ya kumshauri mpenzi wake, Jackson Makini ‘Prezzo’ wazae mtoto. Akizungumza na Amani, mrembo huyo alisema, anahitaji kuwa mama sasa kwani mambo ya usichana ameshayafanya sana. “Nadhani huu ni muda wangu muafaka wa kuzaa, […]

DAVINA AFUATA NYAYO ZA MOND

HALIMA Yahya ‘Davina’ ameonesha kufuata nyayo za staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Mondi’ kwa kuanzisha ‘brandi’ yake ya pafyumu. Mrembo huyo kutoka Bongo Movies ameliambia Amani kuwa, malengo yake makubwa ni kuhakikisha anafanya vizuri kwenye eneo la ujasiriamali kwani anaamini huwezi kufanikiwa kama atategemea chanzo kimoja cha mapato. “Sanaa pekee haitoshi, nimekuja na pafyumu na […]

Kim Kardashian Aamua Kumuonyesha Mwanaye kwa Mara ya Kwanza

MWANAMITINDO maarufu duniani Kim Kardashian ameamua kumuonyesha mtoto wake wa kiume kwa kuweka picha kwenye mtandao wake wa instagram kwa mara ya kwanza. Mwanamitindo huyo kwenye kipindi chake cha runinga ‘Keeping up with Kardashians’, Kim Kardashian, alimuonesha mtoto wake huyo aliyezaliwa mwezi mei kwa njia ya mama mbadala na kumpatia jina la Psalm West. Kim […]

Mimba ya Mpenzi wa Daimond Yazua Gumzo

ANAFICHA mimba! Ndivyo walivyosikika mashabiki waliomuona mchumba wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch kutokana na kuwa na tumbo kubwa hivyo kuibua gumzo kama lote kuwa ni mjamzito. Mara kadhaa Tanasha amekuwa na kigugumizi juu ya suala la kuwa na mimba ya Diamond akisisitiza muda ukifika ataweka wazi. Ishu hiyo […]

Ben Pol Afunguka Kuhusu Harmonize na Shetta Kumtumia Meseji Mpenzi Wake “Wala Sikushangaa”

STAA wa Bongo Fleva, Bernard Paul ‘Ben Pol, amefunguka kuhusu mambo kadhaa yaliyoibuka kwenye mitandao  kutokana na baadhi ya watu kudai kuwa amemfuma mpenzi wake, Anerlisa ‘Anna’, akiwasiliana na mastaa wa muziki nchini Tanzania akiwemo Harmonize na Shetta,  jambo ambalo lilidaiwa  huenda wanamtongoza bidada huyo ambaye ni raia wa Kenya. Benpol anayetikisa na ngoma yake […]

Baada ya miaka 27 Mary J Blige kutunukiwa tuzo ya heshima na BET

Inaripotiwa kuwa Mwimbaji mkongwe wa muziki wa Pop na RnB ambaye pia ni muigizaji Mary J. Blige’48 inaelezwa kuwa atatunukiwa tuzo ya heshima (Lifetime Achievement Award) kwenye tuzo za BET zitakazofanyika June 23, 2019. Inaelezwa kuwa mwimbaji huyo ambaye aliwahi kuwa mshindi tuzo za Grammy mara tisa pamoja na kuuza album zake mara nane (multi-platinum) […]