Fahyma Anena Bifu Lake na Lulu

WAKATI stori zikien­delea kusambaa mitandaoni ame­chukuliwa mumewe na mwigizaji Eliza­beth Michael ‘Lulu’, mke wa msanii wa Bongo Fleva, Ray­mond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Fahyma ‘Fayvan­ny’ ameanika kinachoende­lea.   Tetesi za bifu la Lulu na Fayvanny ziliaza kusambaa wiki kadhaa zilizopita ikidaiwa kwamba eti walikutana saluni na kutaka kuzichapa kavukavu. Kufuatia ishu hiyo, Shusha Pumzi ilizungumza na Fayvanny […]

Amber Rutty Atamani Kumbeba Mumewe Kichwani

DUNIA ina mambo! Baada ya picha akiwa amembeba mgongoni mumewe Said Mtopali kuzagaa mitandaoni na kuzua gumzo, msanii wa Bongo Fleva, Mascat Aboubakar ‘Amber Rutty’ ameeleza kuwa anatamani kumbeba mwandani wake huyo kichwani.   Akistorisha na Gazeti la Ijumaa Wikienda, Amber Rutty alisema anashangaa watu kupigwa butwaa yeye kumbeba mumewe mgongoni wakati kwake ni jambo la kawaida kwani kutokana […]

Daktari Akiri Kuua Mwanamke Aliyetaka Kuongeza Makalio

DKT. Donna Francis amekiri mashtaka ya mauaji yaliyotokana na uzembe baada ya kumfanyia upasuaji mwanamke (34) ambaye alienda kwake kwa ajili ya kuongeza makalio nchini Marekani. Donna ambaye hana leseni ya kufanya shughuli za kitabibu alikuwa akifanya upasuaji wa kuongeza maumbile kwa mwanamke huyo mnamo Mei 2015, ambapo wakati wa upasuaji mgonjwa alipatwa na mshtuko […]

Kuchapiwa Mke Wanaume Saa Nyingine Mnajitafutia..Soma Hapa

Mke …. mpenzi ……. lets njoo utusaidie mimi katika bustani kusafisha haya maua ?? MME ……. Je! Wewe ni wazimu, je! Ninaonekana kama a mtunza bustani? Mke ….. Ok sory babie, … lakini mchumba tafadhali nenda urekebishe hiyo mlango wa bafuni, Junior akauvunja jana usiku ?? MME ….. I hate nosense yako Maombi ,, Je! […]

Mbinu 5 Kali za Jinsi ya Kutongoza Msichana Yoyote Mrembo na Akubali…!!!

Je , unamtamani msichana mrembo ambae kwa sasa ni kama marafiki ? au unavutiwa na yule demu unayemuona kila siku mtaani na unashidwa kujizuia sema hujui uanzaje ? Haijalishi kama unamjua au hamjuani , ila inapokuja kwenye kumtongoza mwanamke unachotakiwa kujua ni uelewa wa vitu kadhaa kuhusu jinsi kutamani kunavyokua na jinsi ya kufanyia kazi […]

Batuli ‘Nilikataa Kucheza Scene za Mahaba Katika Movie ya OPRAH ya Kanumba..Irene Uwoya Akakubali’

Fahamu: Umaarufu wa Irene Uwoya ulilipuka Baada ya kuigiza filamu ya Oprah akiwa na Kanumba na Ray, lakini Batuli ndie alianza kufuatwa aigize uhusika ukuu wa Oprah, Batuli alikataa sababu hakuwa comfortable kucheza scenes za kimahaba ziliozoonekana Kwenye movie husika na kuzua minong’ono Kwa Wakati huo. Uwoya hakujivunga na kilichotokea ni movie hiyo kumpa jina […]

Ruby Atangaza Kumpoteza MUME Wake Kwa Siku ya Nne Sasa…Aomba Msaada Kwa Watanzania

Msanii wa Bongoflava Ruby Siku ya Jana alitoa Taarifa za Kupotea kwa Mumewe anayejulikana kwa jina la KUSAH… Aomba msaada kwa yeyote atakaye fanikisha kupatikana kwa Mchumba wake huyu kwani haonekani kwa siku ya Nne Updates: Baada ya Masaaa kadhaa toka ameomba msaada kwa Watanzania Ruby alirudi tena mtandaoni jioni ya jana na kuwashukuru Watanzania […]

Official Lynn “Diamond Alikuwa na WIVU Sana/ Huwezi Kuwa na Mimi Kama Huna PESA..Nipo Single”

Officialyyn ameweka wazi kuhusiana na taarifa zinazoendelea mitandaoni zinazodai kuwa huwa anamrushia madongo Tanasha Donna, lakini pia ameweka wazi kuwa yeye yuko single na hawezi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume ambae hana pesa.

Madhara ya Kufanya Mapenzi au Tendo la Ndoa Mara Nyingi Kupita Kiasi

Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono. Kuna watu ambao hawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu. Mtu anaweza kuwa na mke na kujikuta […]