Kisa Liverpool, Samatta Aacha Kula Fungate

Samatta akiwa na mke wake Neima Mgange baada ya kufunga ndoa. NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amelazimika kumuacha mke wake Dar, siku chache baada ya ndoa kutokana na kuwahi mechi dhidi ya Liverpool ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo Genk itakutana nao Oktoba 18. Samatta amefunga ndoa na mzazi mwenzie Neima Mgange aliyezaa nae […]

Ni Sawa Kutumia Mswaki Mmoja na Mpenzi Wako?

Jamani usiombe mapenzi yakakunogea utatamani ugandane na mpenzi wako kila mahala. Katika kona kona za mapenzi mapenzi leo nimekuta na hii kitu. Mara nyingi watu wanapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi huwa wanaaminiana kupita kiasi hata kama hawakuwahi kuchunguza afya zao. Hali hii hupelekea wapenzi kuchangia vitu mbali mbali kama nyembe, mswaki,mkasi hata wengine hufikia hatua […]

Faida za Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Wakati wa Kufanya Mapenzi

1. Makalio makubwa hunisaidia kujua kama mwenzi wangu amefika orgasm, mfano ikitokeana hit Doggie basi wakati wa orgasm (most of girls) makalio huwayanatikikisa (twitch, fasciculate ) ambayo huwa inaambatanana miguno ya kimhaba inayo fifia ambayo kabla ya hapo huwa ya sautikubwa… hii unifanya nijue what to do next kumzidishia utamu zaidi. Hii kitu inukuwa ngumu […]

Njoo Ufahamu Mavazi Unayotakiwa Kuyavaa Ukiwa Chumbani na Mwenza Wako Ambayo Yatasaidia Kupandisha Hisia

Najua leo  ni siku ya mapumziko kwa watu wengi na ni siku ambayo familia inatulia nyumbani na ndo wakati mzuri kwa wapenzi kuwa karibu na kujiachia leo tuongee kuhusu mavazi gani ya kuvaa ukiwa na mwenzi wako chumbani. Mapenzi ni hisia,na hisia hizo huwa kwa wote yaani kwa wanaume pamoja na wanawake,baadhi ya walio kwenye […]

Ijumaa Sexiest Girl 2019 Linaanza!

IJUMAA Lile shindano baab’kubwa la kumtafuta Mrembo wa Gazeti la Ijumaa mwenye mvuto zaidi wa kimahaba (Ijumaa Sexiest Girl), linaanza tena kwa msimu wa mwaka 2019. Mratibu wa shindano hilo ambaye ni Mhariri wa Gazeti la Ijumaa, Paul Sifael amesema tayari kila kitu kipo kwenye mipango. “Kifuatacho ni wewe msomaji au shabiki kupendekeza majina ya […]

Uganda Kubadili Sheria, Wapenzi wa Jinsia Moja Kunyongwa

Kampala. Waziri wa Maadili nchini Uganda, Simon Lokodo ametangaza mipango wa kuanzisha tena sheria inayopinga mahusiano ya jinsia moja iliyofutwa na mahakama ya kikatiba mwaka 2014. Waziri huyo ameliambia Shirika la Habari la Uingereza, Reuters, kuwa sheria hiyo mpya itatoa hukumu ya kifo kwa yeyote atakayetiwa hatiani kwa makosa hayo. “Sheria yetu ya sasa inatubana […]

Acha Umbulula Boy..Fahamu Jinsi ya Kumfanya Mwanamke Wako Akakupigia Simu Usiku Kila Siku kwa Kupagawa na Wewe..!!!

Kutumia sms kuanzia wiki hadi mwezi bila kupiga simu ni VIBAYA. Unahatarisha kuitwa boyfriend wa sms, na labda hautakuwa boyfriend wake wa ukweli. Kuondoa hizi athari unapaswa kutumia maujanja haya matatu. Mbinu #1: Toa majibu yasiyokuwa moja kwa moja. Wanawake wanapenda majibu ya moja kwa moja kama wanataka kujua kitu flani kutoka kwako. Mwanamke anaweza […]

Fahamu Njia Nne za Kulinogesha Penzi Lako Kwake Daima..!!!

KUPITIA safu hii uipendayo, leo ninakupa njia nne zitakazolifanya penzi lako liendelee kunoga, hata kama litakuwa limeanza kufubaa utaliamsha upya. Wengi wamekuwa hawaelewi mambo mengi kuhusu uhusiano ndiyo maana huishia kulalamika kwamba wanapenda sana lakini mwisho wa siku huishia kutendwa. Loading… Hakuna mtu ambaye hahitaji faraja, kila aliyekuwa na mpenzi wake anahitaji kuwa na furaha. […]

Kauli ya BASATA kuhusu ‘video’ za Menina

Baraza la sanaa la Taifa (BASATA), limemuita msanii wa filamu nchini Menina Tz, ikiwa ni masaa machache tu, tangu zisambae video na picha zake zisizokuwa na maadili katika mitandao ya kijamii. Akizungumza na EATV & EA Radio Digital, Katibu Mtendaji wa Baraza la sanaa la Taifa Godfrey Mngereza, amesema ni wazi wamemwita msanii huyo ili […]