Masharti Ya Kumtext Mwanamke – Makosa 5 Wanaume Wanayofanya

Kila siku mara moja au nyingine huwa tunawatext wanawake. Aidha wawe ni wapenzi wetu, tunaowatongoza ama marafiki zetu. Na kila siku huwa tunapatwa na changamoto mbalimbali kutokana na matangamano yetu. So huwa kunakosekana nini? Ifuatayo ni orodha ya mambo 5 makuu ambayo wanaume wengi hukosea wakati wanapomtext mwanamke, na jinsi ya kutatua. Loading… #1 kukata […]

Jinsi Ma Aunty aka Mashuga Mami Wanavyopata vi Ben Ten Mjini…

Kuna wale vijana magraduate ambao hawapendi kuishi huku kwetu Uswahilini. Wewe umeanza kazi mshahara unapata 1.2 m baada ya makato, una somesha wadogo zako wawili na wazazi wanakutegemea wewe kule Kibondo bado unaleta jeuri mjini. Loading… Sikuhizi vyumba vinapangishwa kwenye family house Mbezi Beach hata Mikocheni. Unamkuta aunty ana watoto wanne wawili wakubwa wako Marekani […]

Mwanaume Epuka Kufanya Mapenzi Katika Hali na Mazingira Haya…!!!

Kumekuwa na wimbo wenye vilio kwa wanaume kuwa hawana nguvu za kiume huku wengne wakiishia kagoli kamoja. Loading… Lazima ujue kuwa ngono ni kuwa na hapetaiti au ashki ikiwa apetaiti yako ipo juu basi ni rahisi kukinahiwa haraka hivyo uangalifu unahitajika. Ashki humalizwa na mambo mbalimbali na ni vizuri kuyafahamu ili usije kumbwela juu ya […]

Ester, Wema ameniumiza sana!

MUIGIZAJI wa Bongo Muvi, Ester Kiama amesema muigizaji mwenzake, Wema Isaac Sepetu amemuumiza roho hadi kumfanya aangue kilio na kukosa raha siku nzima. Ester ameyasema hayo kufuatia hivi karibuni Wema kumjibu mmoja wa mashabiki wake kwenye Mtandao wa Instagram ambaye alimsifia na kumuambia amekosa kitu kimoja tu bila kukitaja ndipo Wema alipomjibu; “ugumba.” “Kwa kweli ile […]

Tessy atoa kauli tata kumhusu Aslay!

MREMBO Tessy Abdul ‘Tessy Chocolate’ ametoa kauli tata inayotafsiri kwamba anamzungumzia mzazi mwenziye, Aslay Isihaka japokuwa hakutaka kumtaja moja kwa moja. Akizungumza mawili-matatu kuhusu maisha yake kwa jumla mbele ya kinasa sauti cha Amani, Tessy alichomekea kuwa, watu wasiwe na wasiwasi pindi inapotokea wamepoteza kitu maishani kwani yeye amejifunza kama Mungu akipanga utakuwa na kitu hata […]