Kisa Liverpool, Samatta Aacha Kula Fungate

Samatta akiwa na mke wake Neima Mgange baada ya kufunga ndoa. NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amelazimika kumuacha mke wake Dar, siku chache baada ya ndoa kutokana na kuwahi mechi dhidi ya Liverpool ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo Genk itakutana nao Oktoba 18. Samatta amefunga ndoa na mzazi mwenzie Neima Mgange aliyezaa nae […]

Cristiano Ronaldo Naye Yamkuta… Akabiliwa na Mashtaka ya Ubakaji

Mchezaji wa Juventus Cristiano Ronaldo hatakabiliana na shitaka lolote juu ya kutuhumiwa kumbaka mwanadada mmoja mwaka 2009, Las Vegas huko nchini Marekani, wamethibitisha waendesha mashitaka wa Marekani. Mwanadada Kathryn Mayorga alidai staa huyo alimnyanyasa kingono mwaka 2009 baada ya kukutana Club usiku katika hoteli ya Palms. Awali ilielezwa kuwa mwaka 2010, mwanadada huyo alikubali kulipwa […]