Batuli ‘Nilikataa Kucheza Scene za Mahaba Katika Movie ya OPRAH ya Kanumba..Irene Uwoya Akakubali’

Fahamu: Umaarufu wa Irene Uwoya ulilipuka Baada ya kuigiza filamu ya Oprah akiwa na Kanumba na Ray, lakini Batuli ndie alianza kufuatwa aigize uhusika ukuu wa Oprah, Batuli alikataa sababu hakuwa comfortable kucheza scenes za kimahaba ziliozoonekana Kwenye movie husika na kuzua minong’ono Kwa Wakati huo. Uwoya hakujivunga na kilichotokea ni movie hiyo kumpa jina […]

Ruby Atangaza Kumpoteza MUME Wake Kwa Siku ya Nne Sasa…Aomba Msaada Kwa Watanzania

Msanii wa Bongoflava Ruby Siku ya Jana alitoa Taarifa za Kupotea kwa Mumewe anayejulikana kwa jina la KUSAH… Aomba msaada kwa yeyote atakaye fanikisha kupatikana kwa Mchumba wake huyu kwani haonekani kwa siku ya Nne Updates: Baada ya Masaaa kadhaa toka ameomba msaada kwa Watanzania Ruby alirudi tena mtandaoni jioni ya jana na kuwashukuru Watanzania […]

Official Lynn “Diamond Alikuwa na WIVU Sana/ Huwezi Kuwa na Mimi Kama Huna PESA..Nipo Single”

Officialyyn ameweka wazi kuhusiana na taarifa zinazoendelea mitandaoni zinazodai kuwa huwa anamrushia madongo Tanasha Donna, lakini pia ameweka wazi kuwa yeye yuko single na hawezi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume ambae hana pesa.

Mauno ya Hamisa Mobetto GUMZO Kila Kona…Wanaume Mate Yawatoka

Video ya Hamisa Mobetto akicheza na mtu fulani ambaye hajafahamika imewaacha wanaume wengi wakigonga siku nzima shukrani kwa jinsi anavyofunguka kiuno. Video ambayo ilionekana mnamo Oktoba 14 imethibitisha dhahiri kuwa mwanamke huyo anaweza kucheza zaidi ya vile tulivyotarajia. Tofauti na wanawake wengi ambao wanajitahidi kutikisika na kusonga kiuno kwa wakati mmoja… Hamisa Mobetto ametangulia kudhibitisha […]

Diana hapawezi mamtoni!

PAMOJA na kwamba aliposepa Bongo na kutimkia mamtoni (Marekani), staa wa Bongo Muvi; Diana Kimari, alisema hawezi kurejea, lakini ukweli ni kwamba nyumbani ni nyumbani kwani sasa amepakumbuka mno na anatamani kurejea. Akizungumza na Gazeti la Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu akiwa Marekani, Diana anasema amemkumbuka mno mama’ke na baadhi ya rafiki zake ambapo huko hawapo, hivyo […]

Nandy madili ya mamilioni kama yote!

SEXY lady kunako Bongo Flevani, Faustina Charles ‘Nandy’, anaendelea kulamba madili ya mamilioni kama yote. Wiki iliyopita alisaini mkataba wa dili lingine na Kampuni ya Azania Group kuwa balozi wa sabuni yake mpya iitwayo King Limau na King Marhaba. Kampuni hiyo ambayo awali ilikuwa ikijihusisha na bidhaa za chakula, imetoa sabuni hiyo ya unga iliyoelezwa kuwa na […]

Wanaume Waongeza Safari Kukwepa Michepuko

UDANGANYIFU kwa ‘michepuko’ miongoni mwa wanaume wengi siku hizi ni mwingi kama ambavyo tumekuwa tukiangazia kwa wiki tatu mfululizo. “Simu yangu imejiblock siwezi kutuma hela kwa sababu ziko kwenye simu.” “Nimetoka kumuuguza mama yangu, nimerudi siko vizuri kifedha.”   “Ntakutumia hiyo hela kesho,” lakini hatumi kama alivyoahidi. Ni miongoni mwa sababu ambazo zimewafanya wanawake wengi ambao […]

Je, Ntakuwa Nimemuharibu Mtoto? Nimefanya Mapenzi na Mwanaume Ambaye si Baba wa Mtoto…

Mimi nina mtoto wa miezi 10 sasa, niliachana na aliyenipa ujauzito nikiwa na mimba ya miezi 2 mwaka jana mwezi wa 2, na tangu mwaka jana nilikua sijakutana kimwili na mwanaume yoyote yaani nimekaa mwaka 1 na miez 5. Miezi mitatu iliyopita nilikutana na kaka mmoja akawa anataka kunioa, but juzi nikashiriki nae tendo kibinadamu, […]

Amber Lulu Aanika Alivyoshea Bwana na Gigy!

DAR ES SALAAM: Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Eugen ‘Amber Lulu’ amefunguka suala la kushea bwana na msanii mwenzake, Gift Stanford ‘Gigy Money’. Amber Lulu amesema kuwa, ni kweli aliwahi kushea mwanaume mmoja na Gigy Money siku za nyuma.   “Kutokana na lifestyle yangu ya sasa hivi, watu hawamjui bwana’ngu kwa hiyo wanajitahidi kumtafuta na […]